Saturday, January 18, 2014

MANCHESTER KUUSHANGAZA ULIMWENGU LEO - Mkote

Ule mpambano uliokuwa ukisubiliwa kwa hamu kati ya Chelsea na Manchester united leo ubishi utaisha baada ya dk 90 zitakazofanyika ktk uwanja wa Stanford Bridge (Darajani) ambapo mashabiki wengi wanaipa nafasi timu ya Chelsea kuibuka na ushindi kutokana na rekodi mbovu ya Manchester United ktk msimuhuu. Akiongea na mmiliki wa Blog hii mchambuzi wa soka la Uingereza Mr. Mgeni Mkote yeye amesema ktk soka lolote laweza kutokea akiamini kuwa Manchester United inaweza kuushangaza ulimwengu kwa kumfunga Chelsea nyumbani kwake.

 Mtanange huo utaanza Saa 1 jioni kwa masaa ya Afrika mashariki.

Mbwembwe za makatunisiti wanazi wa chelsea kuelekea mchezo huo.
Makatunisiti wa Manchester united wakifanya yao kuelekea mtanange huo

Wachezaji wa Manchester united wakiwasili jijini London
 Kikosi cha Manchester united chaweza kuwa hivi

Moyes- Manchester United team Manager.


1 comment:

  1. Endapo Manchester United watashinda mechi ya leo itawaongezea hamasa ya kufanya vzr ktk mechi zinazofuata

    ReplyDelete