Thursday, August 1, 2013

SIMBA INOGILE


Club ya soka ya Simba ya Dar Es Salaaam leo imekamilisha usajili wa mchezaji Joseph Owino wa Uganda kuimarisha safu yake ya ulinzi baada ya kutoridhishwa na kiwango cha baadhi ya wachezaji waliokuwa wakifanya majaribio. na club hiyo. Pichani ni mchezaji huyo wa Uganda akisaini mkataba na club hiyo tayari kwa kuanza kuitumikia club hiyo katika msimu mpya wa ligi kuu ya vodacom wa 2013/2013.

No comments:

Post a Comment