Tuesday, August 6, 2013

JIFUNZE NAMNA BORA YA KUFUNGA TAI

Mmiliki wa blog hii ameamua kuwafunza vijana mbalimbali namna bora ya kufunga taii na kuipatia heshima yake baada ya kuona vijana wengi wakiwa wanavaa tai kama mataji na hivyo kuiondolea heshima tai katika jamii ni vema vijana tukazingatia hatua sita zifuatazo katika kufunga tai.

 
Pia vijana wameaswa kuzivaa ipasavyo kama anavyoonekana mmiliki wa blog hii pichani hapo chini.



 Nakutakieni utekelezaji mwema.

4 comments:

  1. Msimu huu wa sikuku tujikumbushe namna bora ya kuvaa tai.

    ReplyDelete
  2. Ienisaidia sana nilikua nataka nikampe mtu hela anifungie tai

    ReplyDelete
  3. Best Casino Games in Milwaukee, WI - MapYRO
    Best Casino Games in Milwaukee, WI. Get directions, 고양 출장마사지 reviews and information for Casino Games in Milwaukee, 청주 출장마사지 WI. Find 거제 출장마사지 Casinos 시흥 출장마사지 Near Me 서산 출장샵 near me!

    ReplyDelete