Mtaro mkubwa ukiwa umechimbwa katikati ya barabara ili kuzuia magari ya CHADEMA
yasipite kwenda kijiji cha Namgenzi jimbo la Ulanga Mkoani Morogoro wakati
CHADEMA wanaendelea na kueneza vuguvugu la mabadiliko mkoani humo.
UBUNGE WA IGUNDA DR. DALALI KAFUMU BAADA YA KUBAINIKA KUWA HAKUSHINDA KIHALALI.
CHADEMA NDO CHAMA PEKEE CHA UPINZANI AMBACHO KINAINYIMA CCM USINGIZI KWA SASA KWANI KINAONEKANA KUKUBALIKA KILA KONA YA TANZANIA.
Aliyekuwa mgombea wa CHADEMA ktk jimbo la Igunga ambae alifungua kesi kupinga matokeo yaliyompa ushindi Dr. Dalali Kafumu ambaye mahakama imekubali hoja za mlalamikaji na kumvua ubunge.
Dr.Dalali Kafumu akiondoka mahakamani kichwa chini baada ya kuvuliwa ubunge na mahakama leo, nyuma ni katibu mkuu wa CCM akimfariji Dalali.




No comments:
Post a Comment