Mmiliki wa blog hii ameamua kuwafunza vijana mbalimbali namna bora ya kufunga taii na kuipatia heshima yake baada ya kuona vijana wengi wakiwa wanavaa tai kama mataji na hivyo kuiondolea heshima tai katika jamii ni vema vijana tukazingatia hatua sita zifuatazo katika kufunga tai.
Pia vijana wameaswa kuzivaa ipasavyo kama anavyoonekana mmiliki wa blog hii pichani hapo chini.
Nakutakieni utekelezaji mwema.