Chama Cha Madaktari TZ, Chawasilisha Maombi UN Ya Ulinzi Kwa Viongozi Wake:
Mchana
wa leo, Jumatatu, Julai 9, 2012 Chama Cha Madaktari (MAT) kimewasilisha
maombi ya ulinzi kwa Viongozi wake na Dkt. Ulimboka (mwanachama wao)
kwa Uongozi wa Umoja wa Mataifa (UM). Nakala ya barua hiyo imepachikwa
hapa.


No comments:
Post a Comment